Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Mradi wa E4D umechochea ujuzi na ajira kwa vijana


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako Mradi wa ujuzi na ajira kwa maendeleo (E4D) umeendelea kuchochea ujuzi na Ajira kwa vijana kwa kutoa mafunzo ya ufundi stadi na kuunga mkono juhudi za serikali ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Amesema hayo Disemba 15, 2023 wakati wa mahafali ya wahitimu ya mafunzo ya muda mrefu, muda mfupi na mradi wa ujuzi na ajira kwa maendeleo E4D katika chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Jijini Dodoma.

Aidha Prof. Ndalichako amesema mradi wa E4D umeendelea kusaidia kupiga hatua kwa haraka kwa kuunganisha serikali na wahisani wa maendeleo.