Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu (wa kwanza kulia), amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Japan kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Japan katika maendeleo ya rasilimali watu hususan kwenye sekta ya ujenzi, Novemba 24, 2025 Jijini Dar es salaam.