News

Makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali na DIT

Date Posted: 20 Jan 2017

Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) Prof.Preksedis Ndomba (kushoto) na Mkurugenzi wa Ajira kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bw. Ally Msaki wakisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hiyo utakaowezesha vijana kupata mafunzo ya uzalishaji wa mazao ya ngozi katika Taasisi hiyo Kampasi ya Mwanza ili kuchochea uchumi wa viwanda nchini.

Read More

Makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali na DIT

Date Posted: 20 Jan 2017

Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia Taarifa za Soko la Ajira Bw.Ahmed Makbel toka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akieleza umuhimu wa vijana kutumia fursa zinazotolewa na Serikali katika kuwajengea uwezo ili waweze kushiriki katika ujenzi wa uchumi wa Viwanda. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ajira, Bw. Ally Msaki kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

Read More

Baraza La Wafanyakazi 2017

Date Posted: 11 Apr 2017

Naibu Waziri - Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi hiyo mjini Dodoma tarehe 3/04/2017.

Read More

Baraza La Wafanyakazi 2017

Date Posted: 11 Apr 2017

Katibu Mkuu - (OWM-KVAU) Bw.Eric Shitindi akihutubia Wajumbe katika Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi.

Read More

Mgomo Wa Madereva

Date Posted: 03 Feb 2017

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi Wasafirishaji kwa Njia ya Barabara Bw. Salum Abdallah akitoa wito kwa wananchi kupuuza taarifa za kuwepo kwa mgomo wa madereva kama ilivyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya kijamii na kuliomba Jeshi la Polisi kuchukua hatua kwa wote waliohusika kusambaza taarifa hizo za upotoshaji. Kulia ni Mwenyekiti wa chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU) Bw. Shabani Mdemu.

Read More