Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Wadau wa Maendeleo watoa maoni Programu ya Ukuzaji Tija nchini


Serikali Kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu imepokea maoni ya wadau wa maendeleo kuhusu Programu ya Ukuzaji Tija Nchini pamoja na Mwongozo wa kupima Tija katika sekta ya uchumi kwa lengo la kuboresha utekelezaji wa programu hiyo Juni 25, 2024 Jijini Dar es salaam.