Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi hiyo, Wakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab, baada ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhueu Kitaifa 2025, leo Aprili 2, katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani.