Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024, Godfrey Eliakim Mnzava wakati wa uzinduzi wa mbio za mwenge zilizofanyika katika uwanja wa michezo Chuo Kikut cha Ushirika Moshi (MoCU), Mkoani Kilimanjaro tarehe 2 Aprili, 2024.