Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

WAZIRI MHAGAMA AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akikabidhiwa taarifa ya utekelezaji na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko kimkabidi taarifa ya Utekelezaji mara baada ya kupokelewa rasmi katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kipokelewa rasmi na watumishi wa ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma hii leo Disemba 10, 2020.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidi taarifa ya Utekelezaji Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Patrobas Katambi wakati wa kikao hicho.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akikabidhi taarifa ya Utekelezaji kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu) Mhe. Ummy Nderiananga. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika ofisi yake pamoja na Naibu Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Patrobas Katambi (Kazi, Vijana na Ajira) (kushoto) na (kulia) Mhe. Ummy Nderiananga (Wenye Ulemavu) mara baada ya kuhitimisha kikao cha Menejimenti.