Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Waziri Ndejembo afanya mazungumzo na wataalamu wanaoshughulikia masuala ya vijana


nimekutana na kufanya mazungumzo na wataalamu wanaoshughulikia masuala ya vijana chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

Tumejadili na kuweka mikakati ya namna bora ya kuyafikia makundi ya vijana ili kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi.

Kikao hiko kimehudhuriwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana, Eliakim Mtawa, Mkurugenzi wa Idara ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi, Amos Nyandwi, Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Ajira, Joseph Nganga pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Startup Association, Zahoro Muhaji.