Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Ndejembi aitaka Menejimenti ya PSSSF kufanya uwekezaji wenye tija


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Vijana Ajira na wenye Ulemavu, Mhe Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao kazi na Menejimenti ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Mhe. Ndejembi ameitaka Menejimenti ya PSSSF kuhakikisha inafanya uwekezaji wenye tija. Aidha, amewataka kuongeza ufanisi na uwazi katika utendaji kazi wao na kuboresha utoaji huduma kwa njia ya mtandao.