Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI YALIYOFANYIKA JIJINI MWANZA


,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akikagua mabanda mbalimbali ya washiriki katika maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya yaliyofanyika Jijini Mwanza.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akihutubia washiriki wa maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya yaliyofanyika Jijini Mwanza.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Tixon Nzunda akieleza jambo wakati wa maadhimisho hayo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa OSHA, Bi. Hadija Mwenda akielezea masuala mbalimbali kuhusu Usalama na Afya Sehemu za Kazini.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa pamoja na Wabunge wa Kamati mbalimbali waliposhiriki kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya yaliyofanyika Jijini Mwanza.