Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

​Wadau washiriki Kukamilisha Uandaaji wa Mpango Kazi wa Taifa wa Haki na Ustawi kwa Watu Wenye Ualbino


Wadau washiriki Kukamilisha Uandaaji wa Mpango Kazi wa Taifa wa Haki na Ustawi kwa Watu Wenye Ualbino wadau hao ni kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.

Kikao kazi hicho kimeratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa Kushirikiana na Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania - TAS amefungua