Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Ulinzi kwa Wenye Ulemavu ni jukumu la jamii nzima - Mnzava


  • ULINZI KWA WENYE ULEMAVU NI JUKUMU LA JAMII NZIMA" - MZAVA

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024, Gidfrey Mzava amesema kila mwananchi ana jukumu la kumlinda mtu mwenye ulemavu au yule mwenye Mahitaji maalumu bila kujali tofauti kwani watu wote kwenye jamii ni sawa.

    Amebainisha hayo alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum kilichopo kwenye shule ya Msingi Bwigiri, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.

    Aidha, Kiongozi huyo amezungumza na baadhi ya wananchi waliojitokeza katika eneo hilo na kusema jamii inawajibu wa kuwalinda Watu wenue Ulemavu dhidi ya watu wanafanya ukatili. Amewasii pindi watakapoona viashiria hivyo, watoe taarifa mapema kwenye vituo vya Polisi vilivyopo karibu yao.See translatio.