Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YAKE


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo kwa Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo vilivyopo chini yake alipokutana nao kujadili utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 na Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Magufuli aliyoyatoa katika kikao cha kufungua Bunge la kumi na moja la tarehe 20 Novemba 2015 kilichofanyika Ukumbi wa LAPF Jijini Dodoma Oktoba 1, 2018.

Baadhi ya Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia uwasilishwaji wa hoja kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi hicho.