Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office

Labour, Youth, Employment and Persons with Disability

News

Mhe. Mavunde Awasii Vijana kuwa Wabunifu


Mhe. Mavunde amezungumza hayo wakati akifungua maonesho ya Sayansi na Ubunifu yaliyoandaliwa na Chuo cha Mtakatifu Joseph Jijini Dar es Salaam.

Alibainisha kuwa ubunifu utawafanya vijana kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa na hasa kwenye Uchumi wa Viwanda