Announcement
Tangazo kuitwa kwanza Mafunzo ya Ufundi Stadi za Kazi fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi
OFISI YA WAZIRI MKUU
KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU
TAARIFA KWA UMMA
KUITWA KUANZA MAFUNZO YA UFUNDI STADI ZA KAZI KATIKA FANI MBALIMBALI KWA NJIA YA UANAGENZI
Tarehe 01 Novemba, 2023 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (OWM – KVAU) ilitangaza fursa za mafunzo ambayo yatatolewa katika taasisi za mafunzo zilizotangazwa kutoka Mikoa 26 ya Tanzania Bara. Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu inapenda kuutaarifu umma kuwa vijana 6,000 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo 43 nchini. Majina ya vijana waliochaguliwa yamebandikwa kwenye mbao za matangazo za vyuo husika na katika tovuti ya www.kazi.go.tz . Vijana waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwa ajili ya kuthibitisha na kujisajili kuanzia tarehe 15 Januari, 2024 ambapo mafunzo yataanza rasmi tarehe 22 Januari, 2024. Mikoa na vyuo ambapo mafunzo yatafanyika ni kama ifuatavyo:-
MKOA | JINA LA CHUO |
ARUSHA |
|
| |
DAR ES SALAAM |
|
| |
DODOMA |
|
| |
GEITA |
|
IRINGA |
|
| |
| |
KAGERA |
|
| |
KATAVI |
|
KIGOMA |
|
| |
| |
| |
KILIMANJARO |
|
| |
LINDI |
|
| |
MANYARA |
|
MARA |
|
MBEYA |
|
MOROGORO |
|
MTWARA |
|
MWANZA |
|
| |
NJOMBE |
|
PWANI |
|
RUVUMA |
|
| |
RUKWA | 33.LAELA AGRICULTURE VTC |
34.CHUO CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST RUKWA) | |
SHINYANGA | 35.HILL FOREST COLLEGE - KAHAMA |
SIMIYU | 36.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI BARIADI |
SINGIDA | 37.CHUO CHA UFUNDI NA MAREKEBISHO KWA WATU WENYE ULEMAVU SABASABA |
38.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI SINGIDA | |
SONGWE | 39. ILEJE DVTC |
TABORA | 40.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MWANHALA |
41.URAMBO DVTC | |
TANGA | 42.ST.PATRICK’S VOCATIONAL TRAINING CENTER |
43. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI HANDENI |
IMETOLEWA NA:
KATIBU MKUU
BONYEZA LINK KUSOMA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI ZA KAZI KWA NJIA YA UANAGENZI