Habari

Mhe.Stella Ikupa akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa warsha

Mhe.Stella Ikupa akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa warsha

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe.Stella Ikupa akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa warsha ya mashauriano juu ya uwajibikaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu iliyoshirikisha Wizara,Taasisi na Waratibu wa madawatu yanayoshughulikia masuala ya wenye ulemavu.