UZINDUZI WA MAFUNZO YA KURASIMISHA UJUZI NJE YA MFUMO RASMI


Posted on 24 Jul 2017

Pichani  Mhe.Naibu Waziri  Anthony  Mavunde(OWM-KVAU) akiwasili  chuo cha VETA –Kigoma kushiriki uzinduzi wa programu ya Taifa ya Kurasimisha ujuzi  kwa Vijana walio nje ya mfumo  rasmi (Recognition of prior learning) pamoja kulia kwake ni Mbunge  wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe na  Nyuma yake ni  Bi Leah  Lukindo –Kaimu Mkurugenzi  mkuu  wa  VETA>