SHEREHE ZA UZINDUZI WA MAFUNZO YA KURASIMISHA UJUZI NJE YA MFUMO RASMI


Posted on 24 Jul 2017

Naibu Waziri-Ofisi  ya Waziri Mkuu-Kazi ,Vijana,Ajira  na Wenye Ulemavu Mhe.Anthony  Mavunde Akitabasamu na kuonyesha  furaha wakati  akihutubia Vijana (hawapo pichani) katika uzinduzi  wa Mafunzo ya urasimishaji ujuzi kwa  Vijana walio nje ya mfumo rasmi katika  chuo  cha VETA  Kigoma Tarehe 13/7/2017,kulia pichani ni Mbunge wa Kigoma mjini Mhe.Zitto Kabwe.