Makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali na DIT


Posted on 20 Jan 2017

Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia Taarifa za Soko la Ajira Bw.Ahmed Makbel toka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akieleza umuhimu wa vijana kutumia fursa zinazotolewa na Serikali katika kuwajengea uwezo ili waweze kushiriki katika ujenzi wa uchumi wa Viwanda. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ajira, Bw. Ally Msaki  kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.