Mgeni rasmi akiwa amembeba mtoto Happines Simon


Posted on 24 Jun 2016

 Mgeni rasmi akiwa amembeba  mtoto Happines Simon baada ya kuimba wimbo wa kuihamasisha jamii  juu ya kupambana na kuzuia mauaji ya Watu wenye Ualibino duniani, kwenye sherehe iliyofanyika jijini Dar es salaam.